Nyumba ya vyumba 3/Goba
Nyumba ina vyumba 3 na vyote ni master bedrooms , Nyumba inaptikana eneo la Goba mbele kidogo ya njia 4 na kituo cha bus ni Lilian Kibo, kutoka barabara kuu ya Goba ni dakika 4 kwa miguu. Nyumba ina A/C na ina bustani na bembea ndani yake. Nyumba ina kodishwa kwa 600,000 kwa mwezi. Kwa mawasiliano wasilina na mamba za dalali zilizoko hapo juu.