Nyumba ya Kisasa inauzwa, Mbezi Malamba Dar es Salaam

155,000,000 TZS
SKU: P/2020/LP1
Property type: House
Area (Sq Ft)
25
Bathrooms
3
Bedrooms
5
Garages
1

The space

 • Land Size: 30 Sq Ft
 • DALALI: HAMDUNI KASSIMU ZAKARIA: +255784976172

Amenities

 • Air-conditioning
 • Ceiling fans
 • Common Bathroom
 • Dining room
 • Electricity
 • Furniture
 • Garden
 • Indoor Kitchen
 • Sitting room

Description

Nyumba ya kisasa kabisa inauzwa ipo mbezi Malamba mawili njia iliyowekwa lami mpya kabisa ambayo kwa juu ina vyumba 4 vikubwa Sana vya kulala kimojawapo ni master bedroom kubwa sana, sebule kubwa,dining,jiko kubwa la kisasa na vyoo vya familia na chini ni underground ambayo ina chumba kikubwa sana na sebule kubwa sana na choo chake jumla nyumba ina vyumba 5 vya kulala na sebule mbili ina garden nzuri, paving, air-condition kila chumba, electric fence, nyumba ina ukubwa wa eneo ni sqmeter 25/30 ina document Safi ya mauziano kutoka serikali ya mtaa

WhatsApp chat