NYUMBA NZURII ya vyumba 4-1 master,sebule nzurii,dinning,jiko na stoo,choo cha public na bafu,tank la maji,AC masterbedroom,stoo za nje ziko 2,choo cha public cha nje na jiko la nje,inajitegemea peke yake,PEVIN BLOCKS chin,ndan ya fensi 500,000 kwa mwezi kwa miezi sita.