NYUMBA INAUZWA MAHALI ILIPO DARESALAAMTZ ENEO KIGAMBONI KISOTA
VYUMBA V5 VYA KULALA VYOTE NI SELF CONTAINED SITTING ROOM DINING ROOM JIKO LENYE MAKABATI PUBLIC TOILET INA TAILS GYPSUM ALUMINIUM WINDOWS LUKU MAJI YA BOMBA NDANI IPO NDANI YA UKUTA PAVING BLOCKS ELECTRIC CAR PARKING SPACE AIRCONDACTION GARDEN A/
UKUBWA WA ENEO SQMITER 3600/
DOCUMENT WITH CLEAN TITLE DEED/
BEI INAUZWA TSHS MIL 680/
MAONGEZI YAPO PIA