NYUMBA MPYA INAUZWA
INA VYUMBA VYA KAWAIDA 6 VYOTE NI SELF NA KILA CHUMBA KINA SEHEMU YA NJE YA KUPUNGA UPEPO
INA MASTER BEDROOM 2 NA SEHEMU ZAKE ZA KUBADILI NGUO
INA SEATING ROOM, DINNING ROOM, KITCHEN ZA NDANI
INA SEHEMU YA JUU YA KUPUMZIKA
INA CHUMBA CHA NDANI UNAWEZA KUTUMIA KAMA CHUMBA CHA WATOTO KUJISOMEA/OFISI
INA CHUMBA NA SEBULE SELF CHA NJE
INA JIKO LA NJE
INA CHUMBA CHA NJE YA KUFULIA NGUO
INA SWIMMING POOL NA SEHEMU YAKE YA KUBADILI NGUO
INA BUSTANI NZURI YA NYASI NA MAUA
HAYO NI MACHACHE TU MENGINE MENGI NJOO UJIONEE
BEI YAKE YA KWANZA ANAANZIA 1.2B PUNGUZO NI BAADA YA KUFIKA SITE
NB:nyumba bado ni mpya iko kwenye finishing ndogo ndogo
KWA
A MAELEZO ZAIDI TUPIGIE SIMU NAMBA 0763 910 365