Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa ipo Buguruni jirani na msikiti wa tungi na kota za police buguruni… Ina vyumba 4 bedrooms, 2 masters, maji ya dawasco na kisima kipo, plot size 572 sqm, ina parking kubwa ya kutosha… Bei Tzs million 250 maongezi yapo kidogo.