NYUMBA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM 1.3 MPKA HPO, BAJAJI 500.
Vyumba 2 vya kulala na kimoja master, jiko, public toilet na sebure, vyumbani na sebureni kuna mafeni, itoshe kusema nyumba ni yakisasa. Kodi laki 300, 000/= miezi 6 ila hata ikipatikana 4 maongezi yapo na mwenye nyumba. Ndani ya fensi zipo 3 na kila mtu anamatumzi yake ya umeme na maji.