Nyumba inapangishwa inapatikana eneo la Njiro Arusha, ina vyumba 4 na vyote ni master bedrooms, ina jiko la wazi na sitting Room inajitemgemea. Kwa maelezo wasiliana na Dalali Jimmy kwa namba zake hapo juu.