Nyumba ina kondishwa kinyerezi Dar es Salaam

300,000,00TZS
Rent
SKU: 812019
Property type: Houses
Rooms
4
Bathrooms
1
Bedrooms
1

The space

  • Year Built: 2018
  • John Gabriel: 678 543 474

Amenities

  • Furniture
  • Wireless Internet

Description

NYUMBA INA KODISHWA KINYEREZI

Nyumba inapatikana kinyerezi shule ina vyumba vitatu ambayo ni jiko, choo/bafu na cha kulala na sehemu ya kupumzikia. Nyumba ni mpya na inaptikana katika eneo nzuri la kinyerezi shule ya msingi na sekodari na iko karibu na kitua cha mabasi ya kwenda mjini. Pia nyumba ina maji yakisima na wala siyo ya dawsco na ina umeme wa LUKE. Mashariti ya kukodisha nyumba hii, mwenye nyumba anapokea pesa tasirimu kwa mwezi na unapoingia utahitaji kulipa mwezi mmoja kama ulizi na utakapo maliza mktaba wako pesa yako utarudishiwa au unaweza kukubalina na mwenye nyumba mwezi wa mwisho kabla hujatoka njisi itakavyo rudishwa, pia garama za maji na umeme zitalipwa na mpagaji.

Kwa mawasiliano zaidi tupipigia kupitia namba hii.

Contact the owner

Enmanuel

[contact-form-7 404 "Not Found"]
WhatsApp chat