Nice Apartments at Kimala Suka, zina patikana upande wa kulia kama unaenda Mbezi Mwisho, kutoka Morogoro Road ni dakika 8 kutembea. Nyumba ziko 6 kwenye jengo moja na kila nyumba inajitengema zina vyumba 3 vya kulala na kimoja ni master, sebule, chumba cha kulia, jiko na choo ya familia na wengeni na zina makabati ya ukutani.