NYUMBA INAUZWA MAHALI ILIPO MBWENI JKT–DAR ES SALAAM
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala na kimoja ni master ina chumba cha kulia, jiko lenye makabati na choo cha familia. Pia nyumba ina tails ,gypsum aluminium windows, Umeme wa Luku, maji ya Dawasa na Electric car parking space na ina HATI MILIKI TITLE DEED.