Nyumba inauzwa Mji Mpya Morogoro
Ina vyumba 3 na vyote ni Self
Sebule
Chumba cha kulia
Jiko lenye makabati
Choo ya wangeni
Nyumba inapatikana Katia eneo zuri na lenye huduma za kijamii na ina HATI miliki na mmilili ni mtu mmoja.
Kwa uhitaji wasiliana kupitia namba +255 679 187 316