Master Bedroom na Sebule, Kinyerezi Shule Dar es Salaam

250,000 TZS
SKU: P/2020/G1
Property type: Houses
Rooms
1
Bathrooms
1
Bedrooms
1
Garages
1

The space

  • Year Built: 2018
  • Mwenye Nyumba: Gabriel Buchumi: +255 713 491 994

Amenities

  • Ceiling fans
  • Garage / Parking
  • Outdoor Kitchen
  • Water (DAWASA)
  • Water tank

Description

Mini house yenye  master bedroom na sebure ina kodishwa, inapatikana Dar es salaam eneo la Kinyerezi Shule  ipo karibu na barabara ya kinyerezi kutoka kituo cha bus ni dakika 3. Pia nyumba ipo karibu na soko la Kinyerezi mwisho na huduma za kijamia zinapatikana karibu kabisa kama hospital ya serikali.  Masharti ya Mwenye Nyumba ni kwamba mpagaji atalipa kodi  Tshs 250,000 kwa miezi kwa kipindi cha miezi sita na atalipa Tshs 250,000 kama sehemu ya tahadhari pale anapoingia na pesa hiyo itatumika pale tu mpagaji atakapo fanya uharibifu wowote na kama hakutakuwa na uharibifu basi pindi atakapo sitisha mkataba  pesa yake atarudishiwa.

WhatsApp chat