Mbezi Luguruni House for Sale Dar es Salaam

165,000,000 TZS
SKU: P/2020/MK19
Property type: House
Rooms
8
Bathrooms
2
Bedrooms
5
Garages
1

The space

 • Land Size: 1427 Sq Ft
 • AGENT: PICHANYUMBA.COM: +255 655 308 599

Amenities

 • Ceiling fans
 • Common Bathroom
 • Dining room
 • Electricity
 • Furniture
 • Garden
 • Indoor Kitchen
 • Sitting room
 • Water (DAWASA)
 • Water tank

Description

BANGALOO FOR SALE

LOCATION:- MBEZI LUGURUNI KAMA UNAENDA KIBAMBA

DISTANCE:- 1.5 km from Morogoro road Barabara ipo vizuri sana hadi kwenye nyumba

NYUMBA KWA NDANI:- Ina vyumba 5 vikubwa Sana vya kulala kimojawapo ni master bedroom kubwa sana na kila chumba kuna makabati, sebule kubwa sana, jiko kubwa la kisasa na choo kizuri cha familia na choo kingine Cha nje pia kuna mabanda ya kufugia kwa nje Kuna eneo ambalo ameotosha migomba na anavuna ndizi tuu,maji dawasco masaa 24,,eneo lote limezungushiwa ukuta

UKUBWA:- Eneo lina ukubwa wa square meter 1427

DOCUMENT:- HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA

WhatsApp chat