Nyumba inauzwa ipo kingolwira morogoro mjini.
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala na kimoja ni master, sebule yenye siting na dining, jiko, store na public toilet.
Nyumba ipo kwenye kiwanja chenye square mita 2400
Nyumba ipo ndani ya fence na imepandwa matunda mbalimbali.
Nyumba ipo mita 300 kutoka barabara ya kwenda daresalaam.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupita namba zetu +255 752 481 398