House for Sale in Kihonda Morogoro Morogoro

90,000,000 TZS
SKU: P/2021/MORO1
Property type: House
Bathrooms
2
Bedrooms
4

Amenities

  • Ceiling fans
  • Common Bathroom
  • Dining room
  • Electricity
  • Indoor Kitchen
  • Sitting room
  • Water

Description

NYUMBA INAUZWA KIHONDA MOROGORO MJINI

NYUMBA IPO KIHONDA KWA CHAMBO NA IPO MITA 500 KUTOKA BARABARA YA KWENDA DODOMA.

NYUMBA INA VYUMBA VINNE VYA KULALA NA KIMOJA NI MASTER, SEBULE YENYE SITING NA DINING, JIKO, STORE NA PUBLIC TOILET.

NYUMBA INA MAJI,PIA KUNA KISIMA CHA KUVUNA MAJI YA MVUA, PIA INA UMEME.

PIA KUNA JIKO LA NJE NA SEVERT KOTA.

KIWANJA KINA UKUBWA WA SQUARE MITA 1000.NA NYUMBA INA HATI.

BEI NI MILIONI TISINI .( 90, 000, 000)

KWA MAWASILIANO 0714393696/0752481398

WhatsApp chat