HOUSE FOR SALE IN KIMALA KORONGWE
MAHALI :
Kimala/ Korogwe Ukitokea mjini unashuka kituo cha Korogwe na unapanda na barabara ya rami ya Maji chuvi kutoka barabara kuu ya Morogoro Road inachukua dakika 15 kufika kwenye nyumba ukitumia usafri wa gari.
SIFA ZA NYUMBA:
Nyumba iko ndani ya fensi ina vyumba 4 na kati ya hivyo viwili ni Master bedrooms, Jiko lenye muundo wa Open kitchen na sehemu ya kulia (dinning), Sebule ( Sitting room ) Kwa upande wa nje utakutana na nyumba dogo yenye chumba na Choo pia na jiko la nje na inauwanja wa kutosha wenye bustani ya majani na mti mmoja wa mwembe. Bila kusahau geti lake ni la Umeme ( remote control )
HATI MILIKI : Ipo kwenye maombi
HUDUMA ZA KIJAMII:
- Maji ( dawasa) ✔︎
- Umeme ( Tanesco ) ✔︎
- Soko ✔︎
- Kanisa ✔︎
- Shule ✔︎
Wasilina nasi kupita +255 788 145 810 kupata maelezo zaidi ya bei na mambo mengine yanayo husiana na nyumba hii.