HOUSE FOR SALE IN GOBA CENTRE
MAHALI :
Mtaa wa Lalata kutoka barabara kuu ya Goba inachukua dakika 5 kufika kwenye nyumba ukitumia usafri wa pikipiki.
SIFA ZA NYUMBA:
Nyumba iko kwenye finishing haina fensi ina vyumba 3 na kati ya hivyo viwili ni Master bedrooms, Jiko , sehemu ya kulia (dinning), chumba cha mapumziko ( Sitting room ) na Choo ya wageni (Common bathroom )
HATI MILIKI : Ipo kwenye maombi
SAIZI YA KIWANJA: 20╳25
HUDUMA ZA KIJAMII:
Wasilina nasi kupita + 255 655 308 599 kupata maelezo zaidi ya bei na mambo mengine yanayo husiana na nyumba hii.