NYUMBA KALI ya vyumba 3 (vyote master),sebule nzurii,dinning,jiko na stoo,choo cha public,inajitegemea ndan ya fensi 400,000 kwa mwezi kwa miezi sita(6). Nyumba inapatikana eneo la CHIDACHI Dodoma.