House for rent Kimara-Suka Dar es Salaam

350,000 TZS
SKU: P/2020/MK19
Property type: House
Bathrooms
2
Bedrooms
3
Garages
1

The space

  • DALALI: MAIKO KANYERERE: +255 715 777 904

Amenities

  • Ceiling fans
  • Common Bathroom
  • Dining room
  • Electricity
  • Garden
  • Indoor Kitchen
  • Sitting room
  • Water

Description

Hii nyumba ya kisasa kabisa inajitegemea yenyewe kwenye fensi ina vyumba 3 vikubwa Sana vya kulala kati ya hivyo kimojawapo ni master bedroom kubwa sana, sebule kubwa,dining,jiko na choo cha familia,garden,paving,parking kubwa,ipo kimara suka upande wa kulia km unaenda mbezi kutoka main road ya Morogoro hadi kwenye nyumba ni km 1. Kwa maelezo zaidi wasiliana na Dalali Maiko Kanyerere kwa namba zake

WhatsApp chat