Apartments zinapangishwa, Temboni Dar es Salaam

250,000 TZS
Rent
SKU: P/2020/MK16
Property type: House
Rooms
5
Bathrooms
1
Bedrooms
2
Garages
1

Amenities

  • Ceiling fans
  • Dining room
  • Electric door Car Parking
  • Electricity
  • Indoor Kitchen

Description

APARTMENTS ZINAPANGISHWA MAHALI ZILIPO DARESALAAMTZ ENEO KIMARA TEMBONI UMBALI NI DAKIKA 7 KWA MGUU

HAPA KUNA APARTMENTS AINA 2

(1) VYUMBA V2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOMS SEBULE JIKO PUBLIC TOILET INA TAILS GYPSUM ALUMINIUM WINDOWS LUKU MAJI YA BOMBA NDANI IPO NDANI YA UKUTA

KODI KWA MWEZI 1NI TSHS LAKI 2.5

KODI ILIPWE MIEZI SITA (6)

(2) NI MASTA BEDROOMS SEBULE KUBWA JIKO PUBLIC TOILET INA TAILS GYPSUM ALUMINIUM WINDOWS LUKU MAJI YA BOMBA NDANI IPO NDANI YA UKUTA PAVING BLOCKS ELECTRIC CAR PARKING SPACE

KODI KWA MWEZI 1NI TSHS LAKI 220,000

KODI ILIPWE MIEZI SITA (6)

KWA HISANI YA @DALALIKANYERERE_KIMARA_MBEZI

WhatsApp chat