2 Apartments for rent, Msunguri Dar es Salaam

400,000 TZS
SKU: P/2020/MK5
Property type: Apartments
Rooms
2
Bathrooms
2
Bedrooms
2
Garages
1

The space

  • Year Built: 2019
  • DALALI: MAIKO KANYERERE: +255 715 777 904

Amenities

  • Ceiling fans
  • Dining room
  • Garage / Parking
  • Indoor Kitchen
  • Water (DAWASA)
  • Water tank

Description

APARTMENTS ZINAPANGISHWA MAHALI MBEZI YA KIMARA KWA MSUGURI

Apartments hizi ziko tatu na mbili ziko wazi, kutoka barabara kuu ya Morogoro road ni dakika 4 tu kufika kwenye nyumba. Zina vyumba viwili vya kulala na kimoja ni Master bedrooms, sebure, dining room, jiko lenye makabati, public toilet. Zina tails, gypsum , aluminium windows, umeme wa luku na majo ya dawasa na Electric car parking space.

KODI KWA MWEZI NI LAKI 400,000

KODI ILIPWE MIEZI SITA (6)

Kwa mawasiliano wasiliana na dalali Maiko kupitia namba yake hapo juu.

WhatsApp chat